Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, January 11, 2013

MABONDIA THOMAS MASHALI WA TANZANIA NA BERNAD MCOCIECH WA KENYA WATAMBIANA


Mabondia Thomas Mashali wa Tanzania (kushoto) na Benard Mcociech wa Kenya wakitunishiana Misuli baada ya kupima Uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa Ubingwa wa Afrika Mashariki utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Frends Corner Manzese


Mabondia Thomas Mashali wa Tanzania (kushoto) na Benard Mcociech wa Kenya wakitunishiana Misuli baada ya kupima Uzito Dar es salaam leo kwa ajili ya mpambano wao wa Ubingwa wa Afrika Mashariki utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Frends Corner Manzese

No comments:

Post a Comment