Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, January 12, 2013

KAGERA SUGAR YATOSHANA NGUVU NA OLYMPIQ STAR YA BURUNDI, MCHEZO WA KIRAFIKI ULIOPIGWA LEO HII KAITABA STADIUM NA KUTOKA 1-1. UKISHUHUDIWA NA MKUU WA MKOA WA KAGERA MH. KANALI MSTAAFU FABIAN MASSAWE.


Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh Kanali mstaafu Fabian Massawe akisalimiana na waamuzi Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh Kanali mstaafu Fabian Massawe akisalimiana na wachezaji

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh Kanali mstaafu Fabian Massawe akiteta na wachezaji

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh Kanali mstaafu Fabian Massawe akizungumza na Viongozi mbali mbali uwanjani hapo

Wachezaji wakiendelea kumsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mh Kanali mstaafu Fabian Massawe

Wachezaji wakisalimiana kabla ya mtanange kuanza

Waamuzi na kapteni wa timu zote mbili Kagera Sugar na Olympiq Star

Bechi la Olympiq Star

Benchi la Kagera Sugar

wapenzi wa soka jukwaani wakifatilia mechi




Wadau

Mtanange ukiendelea

Mtanange ukiendelea kipindi cha pili

Olympiq Star wakifanya mabadiliko

Mashabiki wakifatilia mtanange wa kagera Sugar na Olympiq Star

Mechi ikiendelea
Kagera Sugar nao wakifanya mabadiliko.
Wadau mbali mbali wakifatilia mtanange huu.



Wadau wa Burundi wakishangilia timu yao ya Olympiq Star mara baada ya kusawazisha na kufanya 1-1 dakika za mwishoni. Goli la Kagera Sugar limefungwa kwa mkwaju wa penati kipindi cha pili dakika ya 73 baada ya mchezaji kuunawa mpira.

Wapenzi na wadau wa Timu ya Olympiq Star ya Burundi jukwaani.
CREDIT: WWW.BUKOBASPORTS.COM

No comments:

Post a Comment