Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, November 12, 2012

MAKUNDI TUSKER CHALLENGE YAPANGWA,

Timu ya soka ya taifa ya Ethiopia itakwaana na bingwa mtetezi wa michuano ya   CECAFA Tusker Challenge  itakayo fanyika  Uganda.
 Ethiopia ambao jina lao la utani  ni Waliya ambao ni timu pekee kwenye ukanda huu Afrika Mashariki  ambayo imefuzu kwa fainaliza mataifa ya africa 2013  imepangwa kundi moja na  -  Kenya, na timu mpya ya Sudan Kusini na bingwa mtetezi  Uganda katika kundi  A.
 Mashindano hayo yataanza 24 November and 6 December,  na yalipangiwa katika hotel ya  Serena  iliyopo katika jiji la  Kampala na Katibu Mkuu wa  CECAFA  Nicholas Musonye.
 Ethiopia  itacheza mechi ya ufunguzi dhidi ya timu mpya ya Sudan Kusini 

Kundi A
Uganda
Kenya
Ethiopia
Sudani Kusini 

Kundi B

Sudan Kaskazini
Tanzania Bara
Burundi
Somalia

Kundi C

Rwanda
Zanzibar
Eritrea
Malawi

No comments:

Post a Comment