Akizungumza na waandishi wa habari ofisa habari wa TFF, Boniface Wambura alisema mechi
za raundi ya kwanza za kundi A zitakazochezwa Oktoba 24 mwaka huu ni
Burkina Faso dhidi ya Mbeya City uwanja wab Jamhuri, Morogoro, Mlale JKT na Small
Kids uwanja wab Majimaji, Songea na Kurugenzi Mufindi dhidi ya Majimaji, uwanja
wa Wambi, Mufindi mkoani Iringa.
Mkamba
Rangers na Polisi Iringa zitakamilisha raundi ya kwanza kwa kundi hilo
Oktoba 25 mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Mechi
za raundi ya pili kwa kundi hilo zitachezwa Oktoba 27 mwaka huu kwa
Polisi Iringa vs Mbeya City uwanja wa Samora, Iringa, Majimaji vs Small Kids uwanja wab Majimaji, Songea, Burkina Faso vs Mkamba Rangers uwanja wa Jamhuri, Morogoro
na Kurugenzi Mufindi vs Mlale JKT uwanja wa Wambi, Mufindi.
Raundi
ya tatu ni Oktoba 31 mwaka huu kwa mechi kati ya Mbeya City vs Mlale
JKT uwanja wa Sokoine, Mbeya, Small Kids vs Mkamba Rangers uwanja wa Nelson Mandela,
Sumbawanga, Majimaji vs Burkina Faso uwanja wa Majimaji, Songea na Polisi
Iringa vs Kurugenzi Mufindi uwanja wa Samora, Iringa.
Kundi
B Oktoba 24 mwaka huu ni Ndanda vs Transit Camp, uwanja wa Nangwanda
Sijaona, Mtwara, Villa Squad vs Moro United, uwanja wa Mabatini, Pwani, wakati
Oktoba 25 mwaka huu ni Green Warriors vs Tessema uwanja wa Mabatini, Pwani na
Polisi Dar es Salaam vs Ashanti United uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam.
Raundi
ya pili kwa kundi hilo ni Oktoba 27 mwaka huu Ndanda vs Green Warriors wa Nangwanda Sijaona, Mtwara, Villa Squad vs Tessema uwanja wa Mabatini, Pwani wakati Oktoba 28 mwaka huu ni Ashanti United vs Transit Camp uwanja wa Mabatini,
Pwani na Oktoba 29 mwaka huu ni Moro United vs Polisi Dar es Salaam uwanja wa Chamazi, Dar es Salaam.
Novemba
1 mwaka huu ni Green Warriors vs Ashanti United uwanja wa Mabatini, Pwani,
Novemba 2 mwaka huu ni Polisi Dar es Salaam vs Villa Squad uwanja wa Chamazi, Dar
es Salaam, Novemba 4 mwaka huu ni Tessema vs Ndanda wuwanja wa Chamazi, Dar es
Salaam na Transit Camp vs Moro United uwanja wa Mabatini, Pwani.
Kundi
C ni Oktoba 24 mwaka huu Kanembwa FC vs Polisi Dodoma uwanja wa Lake Tanganyika,
Kigoma, Mwadui vs Morani uwanja wa Kambarage, Shinyanga, Pamba vs Polisi Mara uwanja wa Kirumba, Mwanza na Rhino Rangers vs Polisi Tabora wa Ali Hassan Mwinyi,
Tabora.
Raundi
ya pili ni Oktoba 27 mwaka huu; Polisi Tabora vs Polisi Dodoma uwanja wa Ali
Hassan Mwinyi, Tabora, Mwadui vs Polisi Mara uwanja wa Kambarage, Shinyanga,
Kanembwa FC vs Morani uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma na Pamba vs Rhino
Rangers uwanja wa Kirumba, Mwanza.
Oktoba
31 mwaka huu ni raundi ya tatu; Polisi Mara vs Rhino Rangers uwanja wa Karume,
Musoma, Morani vs Polisi Tabora uwanja wa Kiteto, Manyara, Polisi Dodoma vs
Pamba uwanja wa Jamhuri, Dodoma na Kanembwa FC vs Mwadui uwanja wa Lake Tanganyika,
Kigoma.
No comments:
Post a Comment