Prison ndio ilikuwa ya kwanza kupata bao kupitia kwa Lugano Mwangama baada ya kumbabatiza beki wa Simba na mpira kupoteza mwelekeo na kumchanganya mlinda mlango Kaseja Juma Kaseja.
Simba wamecheza mchezo mzuri sana ila mchezaji wao Amri Maftah alionyeshwa kadi nyekundu.
Felex Sunzu akishangilia bao lake |
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao la kwanza |
Mabao ya Simba yalifungwa na Felex Sunzu na Mrisho Ngassa moj a kipindi cha pili na la pili lilifungwa kipindi cha pili.
No comments:
Post a Comment