Mazoezi ni muhimu ili kuhimili mikikimikiki ya ligi kuu |
Kocha wa African Lyon Pablo Celez akiongea na waandishi wa habari leo asubuhi |
Lazima mruke hadi muwe fiti sana |
Wachezaji wa timu ya African Lyon wakiwa kwenye mazoezi uwanja wa TCC Chang'ombe leo asubuhi kwa ajili ya kujiandaa na ligi ya Vodacom msimu wa 2012/2013 |
No comments:
Post a Comment