Said Bahanunzi akisalimu mashabiki baada ya kutua uwanja wa ndege jana akitokea Rwanda na timu ya Yanga |
Wachezaji Didier Kavumbagu na Yaw Berko wakilakiwa na mashabiki waliofika uwanja wa ndege wa Mwl Nyerere jana |
Kocha Mkuu wa Yanga Saintfiet akiongea na waadndishi wa habari baada ya kutua wakitokea Rwanda |
"Mimi nakaa jirani tu na uwanja wa ndege sina haja ya kupanda ndege", Golikipa wa Yanga Mustapha Barthez akielekea nyumbani kwake kwa miguu ambapo ni jirani kabisa na uwanja wa ndege |
No comments:
Post a Comment