Rais Dkt. Samia ashukuru salamu za pole kwa Kifo cha Mumewe



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametoa shukrani za dhati kufuatia kuguswa sana na upendo, mshikamano, salamu za pole, dua, na maombi aliyopokea kutoka ndani na nje ya nchi kufuatia kifo cha mume wake kipenzi, Bw. Hafidh Ameir Hassan, kilichotokea Zanzibar tarehe 07 Septemba, 2026.

Kupitia taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari S. Machumu,  Rais  Dkt Samia ametoa shukurani hizo wakati wa kuhitimisha siku tatu za maombolezo ya kuondokewa na mpendwa wake.

No comments