TFF WAPATA UDHAMINI WA MWAKA MMOJA WA MILIONI 495 TOKA KWA KCB
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Benki ya KCB
leo Septemba 4, wameingia Mkataba wa Mwaka mmoja wa Udhamini wa Ligi Kuu ya
Tanzania Bara. Mkataba huo unathamani ya shilingi Milioni 495 + VAT
No comments:
Post a Comment