KOCHA MSAIDIZI SIMBA, MASOUD DJUMA ALIVYOWASILI
Kocha msdizi mpya kutoka nchni Rwanda aliwa amewasili kuifundisha Simba katita Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam. PICHA NA DOUBLE J BLOG
Mratibu wa timu ya Simba, Abas Ali (kulia akiongoza na kocha mpya wa timu hiyo, Masoud Djuma, wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere Dar es Salaam jana
Post a Comment