Huyu ndiye Ahmad Ahmad, shujaa mpya wa Afrika katika mchezo wa soka.
Kumuangusha Issa Hayatou katika uchaguzi mkuu wa kuwania Urais wa Shirikisho la Soka Afrika (Caf) si jambo dogo.
Lakini
Ahmad amefanya hivyo leo akimshinda Hayatou baada ya kujikusanyia kura
34 dhidi ya 20 alizopata babu huyo mwenye umri wa miaka 71.
No comments:
Post a Comment