MWENYEKITI
wa Yanga, Yusuph Manji amemvua uanachama Mzee Msumi baada ya kudaiwa kufanya
njama na viongozi TFF kuhujumu uchaguzi Yanga na kupanga safu yao ya uongozi.
Pia
amewasimamisha uanachama wale wote waliochukua fomu za kugombea Yanga kupitia Ofisi
za Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
No comments:
Post a Comment