VIONGOZI WA PARALIMPIKI WAENDA MAREKANI KUPATA MAFUNZO YA MICHEZO YA WATU WENYE ULEMAVU
Baada ya kozi ya makocha ya Paralympic iliyokuwa ya mafanikio
makubwa ikifadhiliwa na chuo kikuu cha kentucky cha nchin Marekani chini
ya profesa Ben JOHNSON, hatimaye viongozi wa Paralympic Tanzania
wamewasili salama nchini Marekani.
Viongozi hao watakuwa huko kwa muda kwa ajili ya kupata mafunzo maalumu ya uongozi wa michezo kwa walemavu
Kuna matarajio makubwa ya mafanikio kwa wanamichezo walemavu mara baada ya ziara hiyo
No comments:
Post a Comment