Mmoja kati ya member wa ‘label’ ya WCB,
Harmonize amethibitisha kuwa Rich Mavoko ni mmoja kati ya wasanii wa
label hiyo. Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha East Africa
Radio Jumatano hii, Harmonize alisema label ya WCB ina wasanii watatu
yeye mwenyewe , Raymond aliyekuwa Tip Top Connection pamoja na Rich
Mavoko. “Unajua mwanzo zilikuwa ni tetesi lakini naweza kusema ‘its
official’ sasa Rich Mavoko yupo chini ya WCB,” alisema Harmonize
Rich Mavoko

No comments:
Post a Comment