PETER MSECHU AACHIA NIKUMBATIE BWANA
Machi, 18 ni tarehe ya kuzaliwa kwa msanii Peter Msechu ambapo kwa kusherekea siku hiyo ameachia Wimbo ambao ameupa jina la Nikumbatie Bwana.
Wimbo huo Msechu anaimba akimshukuru Mungu na kumuomba kuzidi kumsaidia katika maisha yake.
Zaidi unaweza kumsikiliza hapa chini;
Post a Comment