Borussia Dortmund wanaongoza bao 2-0 bao zote mbili zikifungwa dakika ya 30 na dakika ya 61.
Bao la kwanza limefungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 30.
Bao la tatu limefungwa na Marco Reus tena dakika ya 70
Tottenham Hotspur bado hawajapata kitu mpaka sasa...
No comments:
Post a Comment