Kwanza
ameandika rekodi mbaya kwenye Ligi Kuu England baada ya kuwa Mchezaji
wa Kwanza kuoneshwa kadi nyekundu tatu kwa msimu mmoja tangu msimu wa
2013/2014. Mchezaji wa mwisho kufanya hivyo alikuwa ni beki Wes Brown
Mchezaji wa zamani wa Man United.
No comments:
Post a Comment