Shabiki
mmoja wa klabu ya Leicester huenda akajishindia pauni 25,000 iwapo
timu yake katika ligi ya Uingereza itashinda taji la ligi hiyo baada ya
kuweka pauni tano katika dau la 5,000-1.
Ushindi wa Leicester wa 3-1 katika klabu ya Manchester City unawaacha wakiwa pointi tano juu ya jedwali hilo huku ikiwa thuluthi mbili za msimu huo zimekamilika.
Carpenter
Leigh Herbert, mwenye umri wa miaka 38 alicheza dau akiwa katika likizo
na amekataa ombi la kumtaka achukue pauni 3,200 ili kujiondoa.
Iwapo Leicester ambao walikuwa chini ya jedwali la ligi hiyo mwaka mmoja uliopita watashinda taji hilo la ligi, inaaminika kuwa hiyo itakuwa zawadi kubwa kuwahi kutolewa katika historia ya michezo.![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_s5CzLQBavwpDOqeHON-JbPtwzj95od7B4XpgoI3liH2MugTTUckSnsA3rTQp8JvUMC6LQHiAnEXP0i85ruhnwiLn-4_1JiCPrmkXHFg38PdsvwIk4AevTGzjfbN1nsvhmjctR5vRK32h4cJMX0q_NGkNcv44hopghYd3-eZwnigRJ3dNlK7RAMsQmYxyaK=s0-d)
Ushindi wa Leicester wa 3-1 katika klabu ya Manchester City unawaacha wakiwa pointi tano juu ya jedwali hilo huku ikiwa thuluthi mbili za msimu huo zimekamilika.
Iwapo Leicester ambao walikuwa chini ya jedwali la ligi hiyo mwaka mmoja uliopita watashinda taji hilo la ligi, inaaminika kuwa hiyo itakuwa zawadi kubwa kuwahi kutolewa katika historia ya michezo.
No comments:
Post a Comment