Pages

Wednesday, February 10, 2016

KADI NYEKUNDU ZAMWANGAISHA VICTOR WANYAMA SOUTHAMPTON, ATAKA KWENDA ARSENAL AU SPURS

Kwanza ameandika rekodi mbaya kwenye Ligi Kuu England baada ya kuwa Mchezaji wa Kwanza kuoneshwa kadi nyekundu tatu kwa msimu mmoja tangu msimu wa 2013/2014. Mchezaji wa mwisho kufanya hivyo alikuwa ni beki Wes Brown Mchezaji wa zamani wa Man United.

No comments:

Post a Comment