Ligi
kuu ya Soka la England inatarajia kuendelea tena Wikiendi hii baada ya
kupisha michuano ya FA CUP ambapo Jumamosi kutakuwa na michezo sita. Vinara
wa ligi Leicester city dhidi ya Norwich city, Southampton na Chelsea,
Stoke itaikaribisha Aston Villa, Watford itaivaa Bournemouth, West Brom
na Crystal Palace, West Ham itaikaribisha Sunderland. Jumapili
ligi hiyo itaendelea tena kwa michezo miwili Manchester united watakuwa
wenyeji wa Arsenal uwanja wa Old Traford, na Tottenham wakiwakaribisha
Swansea city, huku michezo miwili ikiaharishwa Liverpool itachuana na
Everton,New castlle watakuwa wenyeji wa Manchester city.
Serengeti: Untamed.
-
VAST. RELENTLESS. ALIVE.
Forget everything you know about time.
Witness the relentless thunder of the Great Migration. Track the ancient
...
Michezo : New King Imeichapa Malindi Bao 2-1
-
Mchezaji wa Timu ya Malindi akimiliki mpira akijiandaa kumpita beki wa Timu
ya New King, katika mchezo wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar 2-25 /2026 mchezo
uliyo...
Post a Comment