CHELSEA WAMTUPIA JICHO MCHEZAJI WA BAYER LEVERKUSEN JAVIER HERNANDEZ.
Mchezaji
wa Bayer Leverkusen Javier Hernandez msimu huu wa 2015/2016 umemkubali
sana akiwa katika Klabu hiyo na sasa Mabingwa wa England ambao msimu huu
wamekuwa butu sasa wanamhitaji mchezaji huyo wa Zamani wa Klabu ya Manchester United.
No comments:
Post a Comment