Man United walifunga Bao lao kupitia Memphis Depay, Mchezaji alietoka PSV, katika Dakika ya na Hector Moreno kusawazisha kwa Kichwa katika Dakika ya 45.
Hadi Mapumziko, PSV 1 Man United 1.
Kipindi cha Pili, PSV, ambao waliwatawaliwa mno, walifunga Bao lao la ushindi katika Dakika ya 57 tena kwa Kichwa na Luciano Narsingh katika Dakika ya 57.
PSV: Zoet, Arias, Bruma, Moreno, Brenet, Narsingh, Propper, Hendrix, Guardado, Lestienne, De Jong.
Subs: Pasveer, Pereiro, Schaars, Poulsen, Locadia, Vloet, De Wijs.
Man Utd: De Gea, Darmian, Smalling, Blind, Shaw, Schweinsteiger, Ander Herrera, Young, Mata, Depay, Martial.
Subs: Romero, Rojo, Carrick, Valencia, Fellaini, Schneiderlin, McNair.
Referee: Nicola Rizzoli (Italy)
No comments:
Post a Comment