FIFA Leo hii imetoa Listi ya Ubora Duniani na zile Nchi 5 Bora, zikiongozwa na Mabingwa wa Dunia Germany ziko Nafasi zao zile zile huku Tanzania ikiporomoka Nafasi 3 na kushika Nafasi ya 107. LISTI ya FIFA ya Ubora Duniani kwa Mwezi Agosti imetolewa huku Argentina ikibaki Nafasi ya Kwanza na Tanzania kuporomoka Nafasi 1 na kushika Nafasi ya 140.
Katika 10 Bora, Mabingwa wa Dunia Germany wameshuka Nafasi 1 na kushika Nafasi ya 3 huku
Timu ya juu kabisa toka Barani Afrika ni Algeria ambayo ipo pale pale Nafasi ya 19 na kufuatiwa na Ivory Coast waliobakia Nafasi ya 21.
10 BORA:
1. Argentina
2. Belgium
3. Germany
4. Colombia
5. Brazil
6. Portugal
7. Romania
8. England
9. Wales
10. Chile
No comments:
Post a Comment