Young, ambae alijiunga na Man United Mwaka 2011 akitokea Aston Villa, anatarajiwa kupewa Mkataba wa Miaka Mitatu.
Msimu uliopita, chini ya Meneja mpya Louis van Gaal, Young alikuwa ni mmoja wa Wachezaji waliowika sana huku yeye akitumiwa sana kama Fulbeki au Winga wa Kushoto anaepanda na kushuka upande huo.
No comments:
Post a Comment