Kocha wa Monaco, Leonardo Jardim, amemjibu Wenger kwa madai yake kwamba Timu yake haikustahili kufuzu na amewavunjia heshima. Jardim,
ambae sasa ameiongoza Monaco kufika Robo Fainali kwa mara ya kwanza
tangu 2004, pia amekiri hawakupeana mikono na Wenger mwishoni mwa Mechi
kwa vile Wenger alimpuuza katika Mechi ya kwanza huko Emirates na yeye
kuamua kulipiza.
No comments:
Post a Comment