Mwenyekiti wa TBN, Joachim Mushi akiongea na waandishi wa habari kuhusu hafla ya wamiliki wa blog Tanzania inayofanyika leo Serena Hotel |
Afisa Uhusiano wa NMB, Doris Kilale akifafanua jambo kwa wandishi. NMB ni moja ya wafadhili wa shughuli hii |
"Tunakusikiliza" Waandishi wakiwa makini kusikiliza |
Wapiga picha wakipiga picha |
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimsikiliza mwenyekiti wa Mpito wa mtandao wa wamiliki wa blog Tanzania (TBN) kwenye ukumbi wa habari maelezo jana |
No comments:
Post a Comment