na Mwamuzi David Fernandez Borbalan.
A. Griezmann aliwamaliza nguvu Real pale alipofunga bao la tatu katika dakika dakika ya 67 na M. Mandžukić aliwapiga bao la mwisho la nne dakika ya lala salama dakika ya 89 na kufanya 4-0 dhidi ya Real Madrid.
Wachezaji wa Atletico wakishangilia moja ya bao lao.
VIKOSI:
Atletico Madrid: Moya, Juanfran, Godin, Miranda, Siqueira, Gabi, Tiago, Koke, Arda, Griezmann, Mandzukic.
Akiba: Oblak, Gamez, Gimenez, Mario, Saul, Raul Garcia, Torres.
Real Madrid: Casillas, Varane, Nacho, Coentrao, Carvajal, Khedira, Kroos, Isco, Bale, Ronaldo, Benzema.
Akiba: Navas, Hernandez, Lucas Silva, Arbeloa, Jese, Llorente, Illarramendi.
No comments:
Post a Comment