MAN CITY YAANZA VEMA KUTETEA UBINGWA KWA KUICHAPA NEWCASTLE 2-0
BAO
za Dakika ya 38 na 90 zimewapa ushindi Mabingwa Manchester City
walipocheza Ugenini na Newcastle huko Saint James Park katika Mechi yao
ya kwanza kabisa ya Ligi Kuu England Msimu mpya wa 2014/15.
David Silva ndie aliefunga Bao la Kwanza baada ya kutengenezewa vizuri na Edin Dzeko na la Pili kupachikwa katika Dakika za Majeruhi na Sergio Aguero alieingizwa Dakika ya 83 kumbadili Edin Dzeko.
Mechi inayofuata kwa Man City kwenye Ligi ni ya Nyumbani Uwanjani Etihad hapo Jumatatu Agosti 25 watakapowavaa Liverpool.
Taswira kabla ya mtanange kuanza kati ya Newcastle na City
Mike akimkaba Jovetic
Emmanuel akikabwa kwa sana na Yaya Toure
Jovetic akimiliki mpira
Samir Nasri akilindwa
Aguero akimaliza Mchezo katika dakika za Majeruhi
Usimwambie Mtu!!!
VIKOSI:
Newcastle: Krul, Janmaat, Williamson, Coloccini, Dummett, Colback, Anita, Sissoko, Cabella, Gouffran, Riviere.
Subs: Aarons, Perez, Haidara, Elliot, Obertan, Steven Taylor, Abeid.
Manchester City: Hart, Clichy, Demichelis, Kompany, Kolarov, Fernando, Toure, Nasri, Jovetic, Silva, Dzeko.
Subs: Zabaleta, Milner, Caballero, Jesus Navas, Aguero, Fernandinho, Boyata.
Referee: Martin Atkinson
Shabiki
wa timu ya Newcastle akiwa tayari kuucheki mtanange wa Timu hiyo na
ikiwa ni mechi yao ya kwanza kwa Msimu huu mpya wa 2014/15

Post a Comment