Kipindi cha pili hakuna aliyeliona lango
la mwenzie timu zimebanana licha ya kushambuliana mpaka dakika za
mwisho, Sasa Ujerumani anasubiri timu itakayoshinda kati ya Brazil na
Colombia usiku huu.
Mlinzi Mats Hammels akishangilia bao lake..Dalili za kwenda Nusu Fainali!!
Mashabiki wa France kimyaaaa...huzuni kibao!safi!! Tunasonga sasa!!Kwa wenzao, Mashabiki wa Ujerumani ni Sherehe tupu!Muda unayoyoma kwa Ufaransa!
Difenda wa Ufaransa Mathieu Debuchy akigonga kichwa!
Ozil na Pogba..kwenye kuutafuta!Kipa wa Ujerumani Manuel Neuer kwenye lango lake
Karim Benzema akiachia shuti kali mbele ya Jerome BoatengMlinzi wa Ujerumani Mats Hammels akimiliki mpira dhidi ya Mathieu
Benedikt na Pogba wakigombea mpiraMsaada unatakiwa!! Mathieu Valbuena kaumia!
Antoine na Kipa Hugo si raha tena...!
Wachezaji timu zote mbili wakisalimiana kati ya France vs Germany
Kipa Hugo akijituma!
Mashabiki wa Germany wakipozi kupata picha huku wakiwa wamejipanga langi za bendera yao
Timu zote mbili zikiwa zimebeba bango la Kupiga vita Ubaguzi
Mafowadi Karim Benzema na Miroslav Klose wakisalimiana
Mapema Mashabiki wa Ufaranza Bendera zilikuwa juu..
VIKOSI:
France: Lloris, Debuchy, Varane, Sakho, Evra, Valbuena, Pogba, Cabaye, Matuidi, Griezmann, Benzema.
Subs: Ruffier, Landreau, Cabella, Giroud, Mavuba, Mangala, Sagna, Digne, Sissoko, Remy, Koscielny, Schneiderlin.
Germany: Neuer, Lahm, Hummels, Boateng, Howedes, Ozil, Kroos, Schweinsteiger, Khedira, Muller, Klose.
Subs: Zieler, Weidenfeller, Grosskreutz, Ginter, Schurrle, Podolski, Draxler, Durm, Mertesacker, Gotze, Kramer.
Goal: Hummels 13.
Referee: Nestor Pitana (Argentina)

No comments:
Post a Comment