Bao
la pili lilifungwa na David Luiz katika kipindi cha pili dakika ya 69.
Kipa wa Brazil Julio César alimwangusha mchezaji wa Colombia Bacca
ndani ya box na mwamuzi kudai ni penati na penati hiyo kufungwa na
Mjanja Staa James Rodríguez katika dakika ya 80 na kufanya 2-1 dhidi
yao. Na Mtanange kumalizika dakika 90 Brazil wakiibuka na Ushindi wa
bao 2-1. Ushindi huu wa Brazil utawakutanisha na Mshindi wa wa kwanza
Ugerumani siku ya Jumanne Julai 8 saa 5:00 usiku, Wao Colombia Safari
imeishia hapo. Kesho Jumamosi ni Argentina vs Belgium kisha Netherlands
vs Costa Rica mchezo utakaopigwa saa tano usiku huko Arena Fonte Nova,
Savador Brazil.Patashika!! wakichuana kuutafuta mpiraThiago Silva akishangilia bao lakeKona
ilipigwa na Neymar na Thiago Silva akaifungia bao jepesi Brazil dakika
ya 7 baada ya mpira huo kuwapita walinzi wa Colombia na kufanya 1-0
dhidi ya Colombia.Kipindi cha kwanza kikiendelea...VIKOSI:
Brazil: Julio Cesar, Maicon, Thiago Silva, Luiz, Marcelo, Fernandinho, Paulinho, Oscar, Neymar, Hulk, Fred.
Subs: Jefferson, Dani Alves, Dante, Maxwell, Henrique, Ramires, Hernanes, Willian, Bernard, Jo, Victor.
Colombia: Ospina, Zuniga, Zapata, Yepes, Armero, Guarin, Sanchez Moreno, Cuadrado, Rodriguez, Ibarbo, Gutierrez.
Subs: Vargas, Arias, Carbonero, Aguilar, Mejia, Balanta, Bacca, Ramos, Quintero, Martinez, Valdes, Mondragon.
Referee: Carlos Velasco Carballo (Spain)
Mchezaji wa Colombia James Rodriguez mapema akipasha kabla ya mtanange!Subs: Jefferson, Dani Alves, Dante, Maxwell, Henrique, Ramires, Hernanes, Willian, Bernard, Jo, Victor.
Colombia: Ospina, Zuniga, Zapata, Yepes, Armero, Guarin, Sanchez Moreno, Cuadrado, Rodriguez, Ibarbo, Gutierrez.
Subs: Vargas, Arias, Carbonero, Aguilar, Mejia, Balanta, Bacca, Ramos, Quintero, Martinez, Valdes, Mondragon.
Referee: Carlos Velasco Carballo (Spain)
Neymar wa Brazil akipasha
Neymar
Difenda wa Brazil David Luiz
Taswira ya Uwanja Castelao huko Fortaleza ambao ndio unachezewa mtanange huu utaopigwa punde kati ya wenyeji Brazil vs Colombia
No comments:
Post a Comment