Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, February 18, 2014

GIROUD KUCHUKULIWA HATUA ZA KINIDHAMU KWA KUINGIZA ...................HOTELINI.

 MENEJA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger amethibitisha kuwa hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya Olivier Giroud baada ya kuomba radhi kwa kumuingiza mwanamke katika chumba cha hoteli ilipofikia timu hiyo. Mara kwa mara Giroud amekuwa akikataa kumchukua Celia Kay katika Hotel ya Four Seasons iliyopo Canary Wharf usiku mmoja kabla ya mchezo wao dhidi ya Crystal Palace ambao walishinda mabao 2-0 Februari 2 mwaka huu. Warm up: The meeting took place just hours before Arsenal's 2-0 win over Crystal PalaceMapema nyota huyo aliandika katika ukurasa wake wa mtandao wake wa kijamii wa twitter akimuomba radhi mke wake Jennifer na bosi wake Wenger baada ya picha ya mrembo huyo kutokea katika gazeti. Akihojiwa Wenger amesema suala hilo ni la ndani hivyo hataki kuliweka hadharani kwasababu anaheshimu mambo yake binafsi. Picha iliyopigwa na mrembo huyo katika chumba alichofikia Giroud akiwa na nguo ya ndani pekee ilichapishwa katika gazeti la The Sun Jumapili iliyopita. Mrembo huyo mwanamitindo wa majarida ya kimataifa kama Maxim na FHM alipigwa picha akiingia hotelini hapo akiingia na akitoka katika mida mibovu ya usiku wa manane huku mwenyewe akimshangaa Giroud kukana kujirusha naye usiku huo.
Pictured: The model was pictured arriving and leaving the Arsenal team hotel just hours before their match against Crystal Palace
The model was pictured arriving and leaving the Arsenal team hotel just hours before their match against Crystal Palace

Revelations: Kay revealed her meeting with Giroud last week but the striker denied any wrongdoing
Revelations: Kay revealed her meeting with Giroud last week but the striker denied any wrongdoing

No comments:

Post a Comment