WABUNGE WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WATWAA KOMBE LA MAPINDUZI

Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho kushoto akimkabidhi Nahodha wa timu ya Wabunge wa Muungano, Amos Makala Kombe la ubingwa wa miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, baada ya kuwafunga Wawakilishi bao 1-0 Uwanja wa Amaan, Zanzibar mchana wa leo.

Kwa hisani ya Bin Zubeiry blog

No comments