NIKICA JELAVIC NA SHANE LONG WAMTIBULIA KIBARUA MOHAMED NAGI GEDO KWENYE KLABU YA HULL CITY, AREJEA KIKOSINI AL AHLY MISRI
Gedo alianza msimu wa pili na Hull mwezi Septemba
Mshambuliaji wa Misri, Mohamed Nagi Gedo, amerejea katika klabu ya Al Ahly, baada ya klabu ya ligi ya Uingereza ya Hull kusitisha huduma za mchezaji huyo kwa klabu hiyo.
Gedo alikuwa anachezea Hull kwa mkopo.
Wakati Hull ilipowasajili Nikica Jelavic na Shane Long, hapo ndipo huduma za Gedo zilipositishwa Hull.
Post a Comment