
Kocha wa Manchester United David Moyes akisalimia mashabiki leo Old Trafford muda mfupi kabla ya mtange kuanza.

Mapema kipindi cha kwanza Kocha wa United David Moyes akitoa maelekezo kwa wachezaji wake.

Mchezaji
wa Manchester United Adnan Januzaj (katikati) akimchomoka mchezaji wa
Swansea kulia ni Jose Canas katika kipindi cha kwanza cha dakika 45
ambapo United walienda mapunziko wakiwa 0-0 usiku huu wa leo.

Nemanja Vidic chuuchupu afunge hapa ....alikosa tageti na akapaisha!

Adnan Januzaj akiongoza mashambulizi...hapa aliachia shuti kali

Kipa wa Swansea akiokoa mpira wa frii kiki uliopigwa na Adnan Januzaj

Jordi Amat na Danny Welbeck (kulia) wakichuana kuutafuta mpira.....

Huku na huku: Mchezaji wa Manchester United Darren Fletcher (katikati) akibanwa na Leon Britton pamoja Angel Rangel

Mchezaji wa Swansea City Ben Davies (kulia) chini kwenye patashika na Rafael wa United.

Valencia ndie alieanza kuipatia bao United muda mfupi baada ya kipindi cha pili kuanza

Valencia akishangilia bao lake hapa baada ya kuziona nyavu za Swansea City.

Valencia akishangilia baada ya kuifunga Swansea bao la kwanza Old Trafford

Valencia katikati akishukuru baada ya kufunga bao

Mchezaji matata wa Manchester United Danny Welbeck akishangilia bao lake na yeye baada ya kufunga na nakufanya 2-0.

Danny Welbeck akipeta

Baada ya kukosa nafasi ya wazi kipindi cha kwanza Danny welbeck hapa akishangilia bao lake likiwa ni la pili.

Nipe tano ndugu yangu..!! Evra na Carrick wakimpongeza Danny Welbeck.

United wakipongezana!

Hakuna: Chris Smalling amekosa nafasi ya wazi...hapa!!

Kagawa nae kakosa nafasi ya wazi hapa!!

Kazi nzuri vijana!

Siku nzuri na mwaka mpya kwa Kocha David Moyes!!! akiwapongeza wachezaji baada ya mechi kumalizika!.

Moyes akiwapungia mashabiki mkono na kuondoka uwanjani akiwa na raha
Post a Comment