
Alvaro Negredo akitupia bao la kwanza mapeema!!

Negredo akishangilia bao lake la mapema...na pia alifunga tena bao jingine kipindi cha pili dakika ya 59

Sergio Aguero ndie alietupia bao la pili akiongeza Agg kuwa 8-0 dhidi ya West Ham United

Sergio Aguero (katikati) akishangilia...
Wachezaji wa City wakimpongeza Aguero kwenye uwanja Upton Park baada ya kuwapa ushindi wa 8-0

Wachezaji wa City wakiendelea kupongezana

Majanga...angalia aina ya ukabaji wa West Ham

Taswira ya mashabiki uwanjani Upton Park

Mashabiki walikuwa kiduchu kama 14,390

Hapa Akimtoka mchezaji wa West Ham United Rat

Aguero baada ya kutupia bao hapa..!

Kevin Nolan akimkaba mchezaji wa City Aguero ili hasiachie shuti...

Kocha wa West Ham akipagawa baada ya kujionea mambo kuwa magumu kwenye uwanja wao wa nyumbani usiku huu...

Kimbia kimbia kusaka magoli hapa..!!

Mchezaji wa West Ham akipewa matibabu baada ya kuumizwa na Aguero mapema kipindi cha kwanza

striker Aguero alipewa kadi ya njano kwa rafu yake hapa

Mohamed Diame aliumia jana
RATIBA/MATOKEO
[Saa 4 Dakika 45 Usiku]
Jumanne Januari 21
West Ham 0 v Man City 3 (Agg 0-9)
Jumatano Januari 22
Man United v Sunderland
Post a Comment