COPA del REY: GETAFE CF 0 vs BARCELONA 2 (Agg 0-6) MESSI AIKUNG'UTA GETAFE BAO MBILI
Xavi aliingizwa Dakika ya 70 kumbadili Cesc Fabregas na hii ilikuwa Mechi yake ya 700 kwa Barcelona akizidi kupaa akiwa ndie Mchezaji alieichezea Klabu hiyo Mechi nyingi kupita yeyote.
Awali, Real Sociedad, ikicheza Ugenini, iliibwaga Villareal Bao 1-0 baada kutoka Sare 0-0 katika Mechi ya Kwannza.
COPA del REY
RATIBA
Robo Fainali
Mechi ya Kwanza Jan 21-23, Marudiano Jan 28-30
A -RCD Espanyol v Real Madrid
B -Levante v FC Barcelona
C -Real Sociedad v Real Racing Santander
D -Atlético de Madrid v Athletic de Bilbao
Nusu Fainali
Mechi ya Kwanza Feb 5-6, Marudiano Feb 12-13
Mshindi Mechi B v Mshindi Mechi C
Mshindi Mechi A v Mshindi Mechi D
Nusu Fainali
Mechi ya Kwanza Feb 5-6, Marudiano Feb 12-13
Fainali
Aprili 19
Post a Comment