MANCHESTER UNITED 1 v SOUTHAMPTON 1, SARE YAMWONGEZEA MACHUNGU KOCHA MPYA DAVID MOYES!
Kocha David Moyes kwa mara nyingi matokeo yakiwa tete na ni baada ya Southampton kubadilisha matokeo dakika za lala salama jioni hii
Van Persie akijitupa kwa Michael Carrick kwa kupongezwa kwa aina yake
Mzee wa Zamani wa Manchester United aliyekuwa meneja Sir Alex Ferguson nae alikuwepo leo Old Trafford
Wayne Rooney akimpongeza Van Persie wakati wakienda mapunziko
Majanga: Nani akijiuguza pembeni ya uwanja huku akilalamika kwa mwamuzi
Dejan Lovren' akiwasawazishia bao Southampton katika dakika za Majeruhi dakika ya 89 Old Trafford
Post a Comment