Mwanamziki namba 1 kwa kupiga show hapa Tanzania Diamond Platnumz
hivi karibuni alitoa maneno akizungumza siku akifa itakuwawaje kitu
ambacho kilizua maswali mengi sana kwa mashabiki wake ambao
hawakutegemea hata siku moja kama atakuja kusema maneno kama hayo kwa
mashabiki wake kwani yalizua mining'ono mingi sana.
Katika kusema hayo maneno Diamond alisema ni moja kati ya nyimbo ambayo ameiandika na inamtoa machozi kila aisikapo.
Baadhi ya mashairi katika nyimbo hiyo alisema:
Vipi Maneke atanililia...??
Je wasanii wenzangu wataniimbia..??
Ama litafutika jina langu...??
Na nyimbo zangu hawatasikia..??
Vipi wasafi watanililia....??
Je ndugu rafiki watahudhuria..??
Ama nitakapokufa Sina changu..??
Hata mama yangu watamkimbia...??
You
No comments:
Post a Comment