Target: Manchester United are eyeing up Luis Muriel (Picture: Getty)Manchester United imemuorodhesha mshambuliaji wa Udinese Luis Muriel kama chaguo sahihi la kuziba pengo la mshambuliaji wao anayetaka kuondoka Wayne Rooney. Meneja wa United David Moyes kwa kipindi kirefu amekuwa akivutiwa na Muriel, na yuko tayari kuanzisha mpango wa kumnasa mshambuliaji huyo kuziba pengo la mshambuliaji wa kimataifa wa England Rooney. Moyes ameshapiga chini ofa mbili kutoka Chelsea zikimtaka Rooney, lakini mchezaji huyo ameweka wazi kuwa hana muda mrefu wa kuendelea kusalia Old Trafford. Ni hali ambayo inaonyesha kama ni jaribio la uwezo wa Moyes katika nafasi yake ya umeneja lakini lakini inatazamwa kama hata kama Rooney ataondoka haita mpa hasara. Mshambuliaji wa kimataifa wa Colombian Muriel anaongoza katika orodha ya wachezaji wanaotakiwa na mashetani wekundu huku kiongozi wa timu ya watafuta wachezaji wa United Robbie Cooke akihaha kuhakikisha Moyes anafanikiwa katika zoezi la uhamisho.On the move: David Moyes is coming around to the idea that Wayne Rooney will be leaving (Picture: Getty)Muriel ana umri wa miaka 22, ni mchezaji mwenye kasi , mbunifu ambaye anaweza kucheza kucheza sehemu mbalimbali za ushambuliaji na anauzwa kwa pauni milioni £18.He scored 11 goals last season for Udinese and was watched by United, Liverpool and Barcelona scouts during the Europa League qualifying match against Siroki Brijeg last week, in which he bagged two goals.Muriel would fit in nicely with the likes of Robin van Persie, Javier Hernandez and Danny Welbeck, making him an ideal option.Rooney is not likely to be the only striker that departs Old Trafford this month though, with Angelo Henriquez, Kiki Macheda and Bebe also expected to leave in the coming days.
NMB YAPELEKA ELIMU YA FEDHA KWA MAELFU YA VIJANA
-
Benki ya NMB imesisitiza umuhimu wa kupeleka elimu ya fedha kwa umma
sambamba na kupanua huduma rasmi za kifedha, ikisema ujumuishaji wa kifedha
unahita...
Leadership and Teamwork, Defined by the Serengeti
-
If you want a masterclass in leadership, style, and pure majesty, you don't
look to a boardroom you look to the plains of the Serengeti.
Watching an e...
Uchumi : Rais Samia Aipa BOT Dira Mpya
-
Na Janeth Raphael MichuziTv
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameielekeza
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuongeza uwezo wa kuc...
WASIRA AWATOLEA UVIVU WALIOANZA MBIO ZA URAIS
-
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen
Wasira, Leo Machi 27, 2026, Mjini Bunda Mkoa wa Mara alipokuwa akiweka
jiwe la ms...
Post a Comment