Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la kuzawazisha dhidhi ya URA ya Uganda, lililofungwa na Jerson Tegete katika dakika ya 90 ya mchezo na kufanya matokeo kuwa 2-2. Mchezo huo wa kimataifa wa kirafiki umefanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mshambuliaji wa URA ya Uganda, Lutimba Yayo akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Yanga, Ibrahim Job na Rajabu Zahir katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Beki wa URA ya Uganda, Lutimba Yayo akimiliki mpira huku akizongwa na mshambuliaji wa Yanga, Jerson Tegete katika mchezo wa kimataiafa wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2. Wachezaji wa URA wakishangilia bao la pili la timu hiyo. Heka heka.
Monday, July 22, 2013
YANGA YACHOMOA KWA, URA DAKIKA ZA LALA SALAMA YATOKA SARE YA 2-2
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la kuzawazisha dhidhi ya URA ya Uganda, lililofungwa na Jerson Tegete katika dakika ya 90 ya mchezo na kufanya matokeo kuwa 2-2. Mchezo huo wa kimataifa wa kirafiki umefanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Mshambuliaji wa URA ya Uganda, Lutimba Yayo akitafuta mbinu za kuwatoka mabeki wa Yanga, Ibrahim Job na Rajabu Zahir katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Beki wa URA ya Uganda, Lutimba Yayo akimiliki mpira huku akizongwa na mshambuliaji wa Yanga, Jerson Tegete katika mchezo wa kimataiafa wa kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 2-2. Wachezaji wa URA wakishangilia bao la pili la timu hiyo. Heka heka.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment