Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, July 18, 2013

TAIFA STARS YAENDELEA VEMA NA KAMBI JIJINI MWANZA


 Wachezaji wa Taifa Stars wakijianda kuanza mazoezi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wa marudiano dhidi ya Uganda The Cranes wa kuwania kufuzu Fainali za CHAN, Mchezo huo unatarajia kuchezwa nchini Uganda wiki ijayo kwenye Uwanja wa Nelson Mandela -Nambole
 Wachezaji wa Taifa Stars wakiingia Uwanjani CCM Kirumba kutoka kulia, Aggrey Moris, Amri Kiemba, Vicent Barnabas, Frank Domayo na John Boco
 Baadhi ya wachezaji wa Taifa Stars wakitaniana na Kocha msaidizi, Sylvester Marsh
Kocha wa Makipa, Juma Pondamali akimpa mazoezi ya kudaka mpira Kipa wa timu hiyo, Mwadini Ally

No comments:

Post a Comment