Kocha huyo wa zamani wa Yanga raia wa Belgiam hatakuwa akilipwa mshahara isipokuwa atakuwa akopewa bonas pale timu ya taufa ya Malawi maarufu kama Flames itashinda dhidi ya Nigeria mchezo wa kuwania kufuzu kuombe la dunia mwezi Septemba.
Kwa uoande wa wachezaji wa Malawi wao watazawadiwa dolari za kimarekani US$85 kama watashinda ambapo Kamwendo ameelezea kuwa bonas hiyo iliyopendekezwa kwa kocha ya dolari US$10,000 ni kama tusi.
Kamwendo amehoji "Why don't they (Malawi FA) make such offers to players?"
"Kwanini tunaendelea kupata huduma isiyoridhisha na badala yake tunaelekeza kiasi kikubwa cha pesa kwa mtu mmoja?
"Utumekuwa tukipigana kwa muda mrefu juu kuongezewa bonas lakini chama cha soka kinatudharau Fam ," .
Saintfiet ambaye amekubali kuifundisha Malawi kwa kuanzia na makubaliano ya miezi alitetea nafasi yake wakati akiongea na waandishi wa habari hapo jana kwa kusema
Tom Saintfiet insists he can leal Malawi to the 2014 World Cup |
No comments:
Post a Comment