Chelsea ikiongozwa na mzee machachali na kocha mpya Jose Mourinho leo wamemaliza Ziara yao Barani Asia kwa kuifunga timu ya Indonesia All Stars Bao 8-1.Eden Hazard ndiye aliyeanza kuifungia timu yake dakika ya 22 kwa mkwaju wa penati, Ramires akamaliza kwa kuziona nyavu mara 2 dakika ya 30 na dakika ya 57 Pamoja na Lukaku pia leo ameongeza kuifungia Chelsea mabao leo ametupia mbili. Ba nae akafata kufunga kisha john Terry akaimaliza kwa kuiongezea machungu timu ya Indonesia All Stars katika dakika ya 45 . Traore nae akafunga bao pia huku timu ya Indonesia All Stars wakapata bao dakika ya 69 kipindi cha pili wakijifunga wao wenyewe. Kumbuka Chelsea wakiwa huko Asia, Chelsea walicheza Mechi tatu na walianza kwa kuifunga Singha All Stars Bao 1-0 huko Bangkok, Thailand na kufuatia huko Kuala Lumpur, Malaysia ambako waliifunga Malaysia XI Bao 4-1.
Marco Van Ginkel, Gary Cahill na John Terry wakijumuika
pamoja kushangilia baada ya kuifunga timu ya Indonesia All Stars
Mashabiki waliovalia jezi za Chelsea wakishangilia uwanjani Baada ya kuona mvua ya mabao kwa Indonesia All Stars
Demba Ba na Ramires wakiitimisha jumla ya mabao 3-0
Jose Mourinho kwenye benchi akiangalia timu yake ikigawa
dozi kiurahiisi mjini Jakarta
Mashabiki waliovalia jezi za Chelsea wakishangilia uwanjani Baada ya kuona mvua ya mabao kwa Indonesia All Stars
Kapten John Terryakishangilia na wenzake
Eden Hazardakifunga bao la penati dakika ya 22 na
kuifungulia Blues Mvua ya Mabao leo
Demba Ba na Ramires wakiitimisha jumla ya mabao 3-0
Ushindi mtamu jamani!!!
Dalili za Ushindi kwa Chelsea zilionekana mapeema katika
kipindi cha dakika 45 za kipindi cha kwanza
KIKOSI CHA
CHELSEA:
Chelsea: Blackman (Schwarzer 46); Wallace
(Ivanovic 46), Cahill, Terry (Kalas 46), Bertrand (Cole 46); Chalobah (Essien
46), Van Ginkel (McEachran 60); Ramires (Feruz 60), Hazard (Piazon 60), Moses
(Traore 46); Ba (Lukaku 46).
Goals: Hazard (penalty) 21, Ramires 29, 56 Ba 32, Terry 45, Traore 50, Lukaku 52, 65.
Indonesia All-Stars goal: Kalas (og) 67
Goals: Hazard (penalty) 21, Ramires 29, 56 Ba 32, Terry 45, Traore 50, Lukaku 52, 65.
Indonesia All-Stars goal: Kalas (og) 67
CHELSEA-ZIARA:
May 24 Manchester City (Busch Stadium, St
Louis)-KIPIGO 3-4
May 25 Manchester City (Yankee Stadium, New
York)-KIPIGO 3-5
Julai 17 Singha All-Stars (Rajamangala Stadium,
Bangkok)-USHINDI 1-0
Julai 21 Malaysia XI (Kuala Lumpur - BNI Cup
2013) -USHINDI 4-1
Julai 25 BNI Indonesia All-Stars (Gelora Bung
Karno National Stadium, Jakarta) -USHINDI 8-1
Agosti 2 Inter Milan (Lucas Oil Stadium,
Indianapolis - Guinness International Champions Cup) SAA 9
USIKU
No comments:
Post a Comment