Theo Walcottakiachia tabasamu kwenye ndege
Wilshere, Podolski na Mertesackerwakielekea Jakarta
The Arsenal squad fly out to Jakarta on Thursday for the first leg of the Asia Tour 2013 - and the final travelling party has been confirmed.
Youngsters Chuba Akpom, Serge Gnabry, Kris Olsson and Gedion Zelalem have been included in the 24-man group for the matches in Indonesia, Vietnam and Japan.
However, Santi Cazorla and Nacho Monreal will sit out the tour due to their involvement in the Confederations Cup, while Yaya Sanogo is still with France at the Under-20 World Cup.
Thomas Vermaelen will miss the tour in order so he can receive treatment on a back injury, while Gervinho was not due to fly out due to sickness.
Pamoja na ziara yake hii mzee Wenger bado hajasajili majembe licha ya kudai kununua wachezaji kama alivyokuwa anategemea!!!
Olivier Giroud ni moja ya wachezaji majembe walioambatana kwenye Ziara hiyo
Arteta kulia na Sagna wakipata picha kwa kuchungulia
Kwa hapa ni mara ya kwanza Kris Olsson kushoto akijiandaa kupaa kuelekea Asia, Huku kipa Szczesny kulia nae akijipanga.
KIKOSI CHA WACHEZAJI 24 KILICHOPAA
Mikel Arteta
Lukasz Fabianski
Kieran Gibbs
Olivier Giroud
Carl Jenkinson
Laurent Koscielny
Per Mertesacker
Ignasi Miquel
Ryo
Alex Oxlade-Chamberlain
Lukas Podolski
Aaron Ramsey
Tomas Rosicky
Bacary Sagna
Wojciech Szczesny
Theo Walcott
Jack Wilshere
Serge Gnabry
Damian Martinez
Kris Olsson
Chuba Akpom
Thomas Eisfeld
Chuks Aneke
Gedion Zelalem
No comments:
Post a Comment