SIMBA YALAMBISHWA SUKARI YA KAGERA, YAKUBALI BAO 1-0
Kikosi
cha Simba
Kikosi
cha Kagera
Matumaini ya mabingwa watetezi Simba kumaliza Ligi Kuu
katika nafasi 2 za juu yametiwa doa na Kagera Sugar katika uwanja wa Kaitaba
baada ya kupoteza kwa bao moja kwa bila. Bao la ushindi katika mchezo huo
lilitiwa kimiani na Amandus Nesta katika dakika ya 46 baada ya mabeki wa Simba
kushindwa kuuondosha mpira katika hatari. Simba ambao kipindi cha kwanza
walicheza mchezo wa kuvutia walionekana kupoteana kipindi cha pili huku mabeki
wa Kagera Sugar wakifanya kazi ya ziada kuwadhibiti Mrisho Ngassa na Ramadhan
Singano. Katika mchezo mwingine Azam imezidi kuwaacha kwenye mataa Simba baada
ya kuibuka na ushindi wa mabao matatu kwa bila dhidi ya Prisons. Simba sasa
inajiandaa kwenda jijini Mwanza kwa ajili ya mchezo mwingine wa Ligi Kuu dhidi
ya Toto Africans
Waamuzi
na makapteni wakiteta jambo
Benchi
la Kagera Sukari
Benchi
la Simba
Wadau
wakifuatilia soka

Tangu Mechi ianze kocha huyu wa Simba alionekana kuwa na mawazo sana
Wachezaji wakisalimiana

Viongozi mbalimbali wakicheki soka leo hii
Kocha wa Simba akiwapa maelekezo wachezaji wake leo
Kaitaba
Wapenzi wasoka..
Jembe lililosababisha kichapo Simba likiteta na Kocha wake
King Kibadeni
Taswira ya Uwanja wa Kaitaba unavyofanana ambao unauwezo wa
Kuingiza watu 3,000
Mtanange ukiendelea
Mchezaji wa Kagera Sukari akiangaliwa baada ya
kuumia



Mashabiki upande wa jukwaa la Barimi

Wadau mbalimbali wa Soka




Tangu Mechi ianze kocha huyu wa Simba alionekana kuwa na mawazo sana
Mashabiki upande wa jukwaa la Barimi
Wadau mbalimbali wa Soka
Post a Comment