Pages

Tuesday, February 19, 2013

ARSENE WENGER: MTANIKUMBUKA NIKIONDOKA

Anger: Arsene Wenger attacked his critics at a press conference on Monday
Arsene Wenger akiwashambulia wakosoaji wake katika mkutano wake na wana habari jana jumatatu.
Getting ready: Arsenal's opponents Bayern Munich trained at Emirates Stadium on Monday night
Arsene Wenger jana aliwaonya wakosoaji wake waasi kuwa watamkumbuka.
‘Mtanikumbuka nitakapo ondoka.’ meneja huyo anayekalia kuti kavu alionekana kupandwa na ghadhabu pale alipoulizwa juu ya ripoti kuwa amepewa mkataba wa nyongeza.

Akiongea siku moja kabla ya mchezo wa leo wa ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich, Wenger alitetea rikodi yake akisema
‘Nina uhakika utanikumbuka nitakapo ondoka. Angalia timu ninazo weza kuwa meneja nitakwambia siku moja.’

Getting ready: Arsenal's opponents Bayern Munich trained at Emirates Stadium on Monday night
wapinzani wa Arsenal Bayern Munich wakifanya mazoaezi katika uwanja wa ugenini wa usiku wa jana.
Bosi huyo wa Arsenal huko nyuma alizipiga chini Ofa mbali mbali za kufundhisha timu za taifa za England na Ufaransa ikiwa ni pamoja na vilabu vya Bayern Munich, Real Madrid na Paris Saint-Germain.

Arsenal hii leo watakuwa wakikabiliana na Bayern, ambao wanaongoza ligi kuu ya nchini Ujerumani (Bundersliga) kwa utofauti wa alama 15 ikiwa ni siku tatu tu zimepita baada ya Arsenal kuchapwa na Blackburn katika mchezo wa michuano ya FA katika uwanja huohuo wa Emirates.

Wenger anakabiliana na shinikizo la mashabiki wakitaka aondokea kwa kushindwa kupata moja kati ya mataji makubwa tangu mwaka 2005 waliposhinda kwa mara ya mwisho taji la FA huku mwenyewe akijibu tuhuma hizo kwa kusema amekuwepo hapo kwa miaka 16 na malengo yake yamekuwa ni zaidi ya yalivyokuwa hapo kabla.

Isolated: Wenger is under fire as Arsenal look to avoid another season without silverwareAll in it together: Arsenal's players trained at their Colney base on Monday
wachezaji wa Arsenal jana jumatatu walifanya mazoezi katika kituo cha Colney
All or nothing: The Champions League is Arsenal's last chance to win silverware this season
Crucial: Wenger talks to star man Jack Wilshere during training
Wenger akiongea na nyota wake Jack Wilshere wakati wa mazoezi.
‘Nimekuwepo katika mchezo wa soka kwa miaka 30 kama ningetetereka na kuwa na wasiwasi ungejua tayari. Nimefanya kazi Engalnd kwa miaka 16 na kujijengea heshima.
'Ukisema kazi yangu mbaya ni uongo kama utafanya hesabu zako vizuri.’
Kuhusu Arsena ilivyokabiliana na Blackburn, Wenger ameongeza kwa kusema.
"Watu wanasema sikuwa makini na michuano ya FA laikini wakumbuke nimeshinda hili taji mara nne hebu nitajie ni meneja yupi mwingine aliyeshinda taji hili mara nne.
Si kweli kusema kuwa nilipanga kikosi dhaifu kwasababu nilijaza wachezaji 11 wa kimataifa.

Revenge: Blackburn dumped Arsenal out of the FA Cup - 12 months after they were beaten 7-1 at the Emirates
Blackburn wamewatoa Arsenal kwenye michuano ya FA ikiwa ni miezi 12 cha kupokea kichapo cha mabao 7-1 katika dimba la Emirates.
Rovers revenge: Blackburn dumped Arsenal out of the FA Cup - 12 months after they were beaten 7-1 at the Emirates
Kuna mamabo mengi mazuri ya kuzumgumzia. Sisi ndio timu pekee England ambayo imecheza msimu mzima bila kufungwa (unbeaten). Tumekuwa tukitinga fainali ya ligi ya mabingwa na pia kwenye robo fainali na nusu fainali nyingi.

Watu watasema hiyo siyo fursa nzuri wanataka mataji tu kwa sasa, watasema pengine wanataka mataji ni kweli kwasababu nina timu nzuri.

No comments:

Post a Comment