Pages

Tuesday, February 19, 2013

YAONE MAUNO YA JIMAMA MWAJUMA ALIVYOPAGAWISHA MASHAMBIKI KWENYE ONYESHO LA MASHAUZI CLASSIC CHANG'OMBE


Mnenguaji Maarufu nchini Mwajuma Thabiti 'Mwajuma Jimama' akifanya vitu vyake mbele ya mwimbaji wa bendi ya Mashauzi Classic, Isha Ramadhani Mashauzi, wakati bendi hiyo ilipofanya onesho lake katika ukumbi wa TCC Chang'ombe Dar es salaam, mwishoni mwa wiki.
Mashauzi yakiendelea ni 'mauno tu mpaka baaaaas'........

No comments:

Post a Comment