Kwa mujibu wa ukurasa wa facebook wa Yanga, Bao la Yanga lilifungwa katika dakika ya 60 na Tegete, akiunganisha pasi safi aliypewa na Saimon Msuva aliyewatoka walinzi wa Arminia Bielefeld.
Katika mchezo huo Athumani Iddi na Hamis Kiiza hawakuhusishwa katika mchezo huo baada yakutokuwa fiti kwa mchezo.
Kocha Mkuu wa Young Africans Ernest Brandts amesema amefurahishwa na kiwango walichokionyesha wachezaji wake na anaamini kadri siku zinavyokwenda wanazidi kuimarika na kuwa bora, hivyo katika michezo mingine wataendelea kuonyesha mabadiliko makubwa.
Kikosi cha Yanga kilichocheza mchezo huo ni:
No comments:
Post a Comment