Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, August 9, 2017

DIWANI WILLIAM RUTTA AKABIDHI VIATU KWA BUKOBA VETERANS


Mh. William Oswald Rutta akabidhi Viatu vya Mpira kwa Bukoba Veterans pea 16 alivyoomba na kupewa na Timu ya Bayern Munich toka Nchini Ujerumani.
Ameomba Vitumike na amewiwa pia kuchukua pea pea 11 za viatu kwenye kata yake ya Ishozi ambaye ndiye Diwani . Ikumbukwe kuwa Mr. William Rutta alishaleta jezi pia kupitia kwa rafiki yake Fr. Rugumila seti ya jezi kutoka huko huko Ujerumani.
Pia Mh. Diwani huyo Amemshukuru sana Bianca Rech toka Bayern Munich alitetoa ushirikiano huo wa Kutosha .

Michezo ni Utalii
Mh. William Oswald Rutta, Diwani waKata ya Ishozi  akikabidhi Viatu vya Mpira kwa Bukoba Veterans pea 16 kwa Kiongozi wa Bukoba Veterans Bw. Seif Mkude alivyoomba na kupewa na Timu ya Bayern Munich toka Ujerumani.
Mh. William Oswald Rutta akabidhi Viatu vya Mpira kwa Bukoba Veterans pea 16 alivyoomba na kupewa na Timu ya Bayern Munich toka Nchini Ujerumani. Kwenye picha akiwa na pamoja na Baadhi ya Wanamichezo wa Bukoba Veterans.Mh. William Oswald Rutta akabidhi Viatu vya Mpira kwa Kiongozi wa Bukoba Veterans Bw. Seif Mkude.
Mh. William Oswald Rutta akiwa pamoja na Wanabukoba Veterans.
Viatu vilivyokabidhiwa kwa Bukoba Veterans vilivyotoka Ujerumani kwa Timu ya Bayern Munich.