Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, May 21, 2017

Mashabiki wa Yanga walivyolipokea kombe Dar


Leo Mei 21, 2017 mashabiki wa Yanga walijitokeza kwa mamia kuipokea timu yao kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa Dar wakati timu hiyo ikiwasili kutoka Mwanza ikiwa na kombe la ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara msimu huu 2016/2017.